Ufafanuzi wa mnyamavu katika Kiswahili

mnyamavu

nominoPlural wanyamavu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kukaa kimya; mtu asiyependa kusemasema.

    mtulivu

Matamshi

mnyamavu

/mɲamavu/