Ufafanuzi wa mnyiririko katika Kiswahili

mnyiririko

nominoPlural minyiririko

  • 1

    namna ya kupita kwa utaratibu k.v. afanyavyo nyoka majanini.

Matamshi

mnyiririko

/mɲiririkɔ/