Ufafanuzi wa mnyonyore katika Kiswahili

mnyonyore

nominoPlural minyonyore

  • 1

    mti unaofanana na mbono unaoota kwenye majaa au vichakani.

    methali ‘Mnyonyore haunuki, hupendeza mauaye’

Matamshi

mnyonyore

/mɲɔɲɔrɛ/