Ufafanuzi wa mnyoo katika Kiswahili

mnyoo

nominoPlural minyoo

  • 1

    mchango mweupe mrefu na mwembamba anayekaa tumboni mwa binadamu au mnyama.

    mchango

  • 2

    mdudu anayekwenda kwa njia ya kujikunja na kujikunjua, k.v. mwata, choo, n.k..

Matamshi

mnyoo

/mɲɔ:/