Ingia
Kiswahili
Kiswahili
menu
Tunatumia kuki ili kuboresha tukio lako kwenye tovuti yetu. Kwa kuendelea kutumia tovuti yetu, unakubaliana na matumizi yetu ya kuki. Unaweza kubadilisha mipangilio yako ya kuki wakati wowote.
Endelea
Pata maelezo zaidi
Nyumbani
Kiswahili
mnyororo
Ufafanuzi wa
mnyororo
katika Kiswahili
mnyororo
nomino
Plural
minyororo
1
ukambaa mrefu wa chuma unaoshikamanishwa vikuku vyake kama mkufu.
Visawe
silisili, cheni
Matamshi
mnyororo
/mɲɔrɔrɔ/
Ingia