Ufafanuzi wa mnyunyizo katika Kiswahili

mnyunyizo

nomino

  • 1

    umwagiaji wa kitu kiowevu au kitu cha ungaunga kwa uchache na kwa kuzungushia juu ya kitu kinachomwagiwa.

Matamshi

mnyunyizo

/mɲuɲizɔ/