Ufafanuzi wa mobaili katika Kiswahili

mobaili

nomino

  • 1

    simu ya mkononi.

    selula, simutamba, rukono

Asili

Kng

Matamshi

mobaili

/mɔbaili/