Ufafanuzi wa mofu katika Kiswahili

mofu

nominoPlural mofu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    umbo linalowakilisha mofimu katika maandishi k.v. a|na|som|esh|a.

Asili

Kng

Matamshi

mofu

/mɔfu/