Ufafanuzi wa Mola katika Kiswahili

Mola

nominoPlural Mola

  • 1

    Mwenyezi Mungu.

    Muumba, Bwana, Ilahi

Asili

Kar

Matamshi

Mola

/mɔla/