Ufafanuzi wa monita katika Kiswahili

monita

nomino

  • 1

    sehemu ya kompyuta yenye kioo kama ya televisheni ambapo mtumiaji wa kompyuta ndipo anapoangalia.

Asili

Kng

Matamshi

monita

/mɔnita/