Ufafanuzi wa morita katika Kiswahili

morita

nominoPlural morita

  • 1

    kipimo kati ya kidole gumba na cha shahada; shubiri ndogo.

Matamshi

morita

/mɔrita/