Ufafanuzi wa motaboti katika Kiswahili

motaboti

nominoPlural motaboti

  • 1

    mashua ndogo inayoendeshwa kwa nguvu za mota.

Asili

Kng

Matamshi

motaboti

/mɔtabɔti/