Ufafanuzi msingi wa motisha katika Kiswahili

: motisha1motisha2

motisha1

nomino

  • 1

    kitu au fedha inayotolewa ili kumtia mtu mwingine raghba zaidi ya kufanya jambo.

    kichocheo

Asili

Kng

Matamshi

motisha

/mɔti∫a/

Ufafanuzi msingi wa motisha katika Kiswahili

: motisha1motisha2

motisha2

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mtu hamu ya kufanya jambo kwa kumpa kitu kitakachomfurahisha.

Matamshi

motisha

/mɔti∫a/