Ufafanuzi wa motokaa katika Kiswahili

motokaa

nominoPlural motokaa

  • 1

    gari dogo linalokwenda kwa nguvu za injini.

Asili

Kng

Matamshi

motokaa

/mɔtɔka:/