Ufafanuzi wa motomoto katika Kiswahili

motomoto

kivumishi

  • 1

    -enye kusisimua, -siyokuwa na ubaridi.

    ‘Makala yake yalikuwa na mada motomoto’

Matamshi

motomoto

/mɔtɔmɔtɔ/