Ufafanuzi wa moyo katika Kiswahili

moyo

nominoPlural mioyo, Plural nyoyo

 • 1

  kiungo cha mwili kilichoko kwenye sehemu ya kifua kati ya mapafu, ambacho husukuma damu ili ienee mwilini kwa kupitia kwenye mishipa.

  mtima, fuadi, sadiri

 • 2

  ari ya kufanya jambo.

 • 3

  kiini cha mti.

 • 4

  ‘Ana moyo mzuri’
  wema

Matamshi

moyo

/mɔjɔ/