Ufafanuzi wa mpaji katika Kiswahili

mpaji

nominoPlural wapaji

  • 1

    mwenye kupa au kutoa.

    ‘Mpaji ni Mungu’

Matamshi

mpaji

/m paʄi/