Ufafanuzi wa mpakizi katika Kiswahili

mpakizi

nominoPlural wapakizi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuweka vitu chomboni k.v. mashuani au garini.

    kuli

Matamshi

mpakizi

/m pakizi/