Ufafanuzi wa mpako katika Kiswahili

mpako

nominoPlural mipako

  • 1

    namna ya kupaka kitu k.v. rangi au mafuta.

Matamshi

mpako

/m pakɔ/