Ufafanuzi wa mpalilio katika Kiswahili

mpalilio

nomino

  • 1

    namna ya kuondoa majani, nyasi au maotea kwenye shamba lililopandwa mimea.

Matamshi

mpalilio

/m palilijÉ”/