Ufafanuzi wa mpambe katika Kiswahili

mpambe

nominoPlural wapambe

 • 1

  mtu aliyepambwa na anayetumwa kutoa taarifa ya sherehe.

  mwalishi

 • 2

  mtu anayependa kujiremba na kujiweka safi; mtu maridadi.

 • 3

  mtoto wa kike anayepambwa wakati wa harusi ili amtumikie bibi harusi wakati wa fungate.

 • 4

  mlinzi au msaidizi wa karibu wa kiongozi au mtu maarufu.

  ‘Mpambe wa rais’
  ‘Mpambe wa bwana harusi’

Matamshi

mpambe

/m pambɛ/