Ufafanuzi wa mpando katika Kiswahili

mpando

nominoPlural mipando

  • 1

    namna ya upandaji.

  • 2

    wakati maalumu ambao wakulima hupanda mbegu.

Matamshi

mpando

/m pandɔ/