Ufafanuzi wa mpango katika Kiswahili

mpango

nominoPlural mipango

 • 1

  utaratibu wa kufanya jambo kwa hatua ili kufikia lengo linalokusudiwa.

  ‘Mpango wa maendeleo’
  plani

 • 2

  namna ya kuweka vitu kwa utaratibu fulani.

  ‘Hivyo vitabu viweke kwa mpango wake’

Matamshi

mpango

/m pangɔ/