Ufafanuzi wa mpapure katika Kiswahili

mpapure

nominoPlural mipapure

  • 1

    fimbo ya kungwi ya kuchapia mwari aliyeshindwa kufumbua fumbo la unyagoni.

    ‘Kinyago cha mpapure’

Matamshi

mpapure

/m papurÉ›/