Ufafanuzi wa mparaganyo katika Kiswahili

mparaganyo

nominoPlural miparaganyo

  • 1

    hali ya kuvurugika kwa mambo, vitu kuwa mchafukoge.

Matamshi

mparaganyo

/m paragaɲɔ/