Ufafanuzi wa mpare katika Kiswahili

mpare

nomino

  • 1

    chombo chenye mdomo mpana juu na mrija upande wa chini kinachotumika kumiminia viowevu katika vyombo vyenye midomo myembamba.

Matamshi

mpare

/m parÉ›/