Ufafanuzi wa mparuzi katika Kiswahili

mparuzi

nominoPlural waparuzi

  • 1

    mtu anayefanya jambo ovyoovyo.

Matamshi

mparuzi

/m paruzi/