Ufafanuzi msingi wa mpasi katika Kiswahili

: mpasi1mpasi2

mpasi1

nominoPlural wapasi

  • 1

    mtu mwenye uwezo wa kupata riziki yake bila ya taabu.

Matamshi

mpasi

/m pasi/

Ufafanuzi msingi wa mpasi katika Kiswahili

: mpasi1mpasi2

mpasi2

nominoPlural wapasi

  • 1

    mtu mwenye uadui na mwenziwe.

    mshonde, hasimu

Matamshi

mpasi

/m pasi/