Ufafanuzi wa mpasuo katika Kiswahili

mpasuo

nominoPlural mipasuo

  • 1

    jinsi au namna ya kupasua.

    mraruo

Matamshi

mpasuo

/m pasuwɔ/