Ufafanuzi wa mpatanishi katika Kiswahili

mpatanishi

nominoPlural wapatanishi

  • 1

    mtu anayesuluhisha watu au pande mbili zinazogombana.

    msuluhishi, modereta

Matamshi

mpatanishi

/m patani∫i/