Ufafanuzi wa mpayukaji katika Kiswahili

mpayukaji

nomino

  • 1

    mtu anayependa kusema maneno yasiyokuwa na maana.

Matamshi

mpayukaji

/m pajukaŹ„i/