Ufafanuzi wa mpemba katika Kiswahili

mpemba

nominoPlural mipemba

  • 1

    aina ya muhogo ambao ni laini na huiva kwa haraka.

Matamshi

mpemba

/m pɛmba/