Ufafanuzi wa mpendependapo katika Kiswahili

mpendependapo

nomino

  • 1

    mmea wenye majani membamba ambao matunda yake ni meusi yakiwa mabichi na mekundu yakiiva, huota mengi pamoja kwenye kikonyo kimoja.

Matamshi

mpendependapo

/m pɛndɛpɛndapɔ/