Ufafanuzi wa mpenzi katika Kiswahili

mpenzi, kipenzi

nominoPlural wapenzi

  • 1

    mtu anayependwa sana na watu au mtu.

    mpendwa, nyonda, muhibu, laazizi, halili, hababi, kimwana, bui, mahabubu, mwandani, shabiki

Matamshi

mpenzi

/m pɛnzi/