Ufafanuzi wa mpepeaji katika Kiswahili

mpepeaji

nominoPlural wapepeaji

  • 1

    mtu anayepepea ili kupatikane upepo au baridi.

    mpepezi

Matamshi

mpepeaji

/m pɛpɛaʄi/