Ufafanuzi wa mpigaji katika Kiswahili

mpigaji, mpiga

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kitendo cha kupiga.

    ‘Mpigaji ngoma’
    ‘Mpigaji tarumbeta’

Matamshi

mpigaji

/m pigaŹ„i/