Ufafanuzi wa mpigakura katika Kiswahili

mpigakura

nominoPlural wapigakura

  • 1

    mtu aliyesajiliwa na kutambuliwa kisheria kushiriki katika uchaguzi, kura ya maoni au kugombea kiti.

Matamshi

mpigakura

/m pigakura/