Ufafanuzi wa mpigambizi katika Kiswahili

mpigambizi

nominoPlural wapigambizi

  • 1

    mtu anayejiingiza ndani ya maji na kuogelea akiwa huko ndani ya maji; mtu apigaye mbizi.

Matamshi

mpigambizi

/m pigambizi/