Ufafanuzi wa mpigazumari katika Kiswahili

mpigazumari

nomino

  • 1

    mwanamuziki anayepiga kifaa cha muziki kiitwacho zumari.

Matamshi

mpigazumari

/m pigazumari/