Ufafanuzi wa mpiko katika Kiswahili

mpiko

nominoPlural mipiko

  • 1

    fimbo au mti wa kusaidia kuchukua mzigo baina ya watu wawili.

    mtenga, mzega, maarasi

  • 2

    wenzo

Matamshi

mpiko

/m pikɔ/