Ufafanuzi wa mpilipili katika Kiswahili

mpilipili

nominoPlural mipilipili

  • 1

    mmea unaozaa pilipili ambazo, agh. hutumiwa kuwa ni kiungo katika chakula.

    ‘Mpilipili hoho’
    ‘Mpilipili manga’
    ‘Mpilipili mtama’

Asili

Kar

Matamshi

mpilipili

/m pilipili/