Ufafanuzi wa mpimaji katika Kiswahili

mpimaji

nominoPlural wapimaji

  • 1

    mtaalamu wa kupima ardhi na mashamba.

  • 2

    mtaalamu wa kukadiria ubora au ufanisi wa jambo fulani.

Matamshi

mpimaji

/m pimaʄi/