Ufafanuzi wa mpingamapinduzi katika Kiswahili

mpingamapinduzi

nominoPlural wapingamapinduzi

  • 1

    mtu asiyependa au anayezuia kwa vitendo mabadiliko ya siasa na uchumi ambayo ni ya kuwafaidi wengi.

Matamshi

mpingamapinduzi

/m pingamapinduzi/