Ufafanuzi wa mpinzani katika Kiswahili

mpinzani

nominoPlural wapinzani

  • 1

    mtu asiyekubaliana na jambo au fikira za mtu au watu wengine.

    mshindani, mkinzani

Matamshi

mpinzani

/m pinzani/