Ufafanuzi wa mpito katika Kiswahili

mpito

nominoPlural mipito

  • 1

    mabadiliko katika kipindi au wakati fulani.

Matamshi

mpito

/m pitɔ/