Ufafanuzi wa mpokezi katika Kiswahili

mpokezi

nominoPlural wapokezi

  • 1

    mtu anayeshika mahali pa mwenziwe wa kwanza; mtu anayepokea.

Matamshi

mpokezi

/m pɔkɛzi/