Ufafanuzi wa mpotevu katika Kiswahili

mpotevu

nominoPlural wapotevu

  • 1

    mtu aliyekwenda kinyume na maadili yanayotarajiwa na jamii fulani.

    ‘Mwana mpotevu’
    fisadi

  • 2

    mtu aliyetoweka mahali alipozoea kuonekana kwa muda mrefu.

Matamshi

mpotevu

/m pɔtɛvu/