Ufafanuzi wa mpujufu katika Kiswahili

mpujufu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusemasema maneno machafu.

    mpyaro

Matamshi

mpujufu

/m puʄufu/