Ufafanuzi wa mpumuo katika Kiswahili

mpumuo

nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sifa ya vitamkwa ambayo inahusu pumzi kali inayojitokeza wakati baadhi ya vitamkwa vinapotolewa.

Matamshi

mpumuo

/m pumuw…Ē/