Ufafanuzi wa mpungate katika Kiswahili

mpungate

nominoPlural mipungate

  • 1

    mmea unaostawi katika mazingira ya ukame, ulio na majani manene yanayohifadhi chakula na maji.

  • 2

    mmea unaofanana na mkonge.

Matamshi

mpungate

/m pungatɛ/